Ben Pol Afiwa na Baba Yake Mzazi

Msanii wa Bongo Fleva Nchini Ben Pol ameweka wazi kuwa amefiwa na baba yake.

Kupitia Ukarasa wake wa Instagram Ben Pol amepost picha akiwa na baba yake na kuandika maneno mafupi β€œRIP Strongman #DAD πŸ’”πŸ™πŸΎβ€ ambapo amepokea pole kutoka kwa mastaa mbalimbali na watu mashughuli.

Leave a Comment