Diamond Platnumz – Ilibidi Nimdanganye Mama Dangote Aniruhusu Kuhama Nyumbani.

Diamond amekiri kuwa Mwanzoni Ilikuwa ni ngumu sana kupokea Ukweli Kwamba ilibidi awaache wasanii aliowakuza waende kujitegemea.

Diamond anasema kuwa Ukimkuza msanii unamchukulia kama mtoto wako hutaki aondoke na kutolea mfano wake yeye alivyopata shida kwa mama yake alipotaka kutoka nyumbani kwenda kujitegemea.

Tazama video ya Diamond akielezea ilivyokuwa ..

Leave a Comment